Recent content by asali yao

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kabla hata ya kumfikiria Mwakyembe atwambie waliopiga deal ya Mabehewa feki na hatua zilizochukuliwa dhidi yao.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Sioni mabadiliko yoyote kama wananchi wamewakataa Steven Wassira, Agrey Mwanri, Charles Makala halafu JPM awarudishe na kuwapa Wizara, nitakuwa ni dharau kwa watanzania.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Kweli ACT kuna vilaza wengi sana wasiojua sheria
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Well said mkuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mbunge Mteule, bali Rais Mteule

    Siku hizi chuo kikuu wanauliza maswali ya kitoto namna hiyo?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sina taarifa ya kutoa hadharani, Kauli za Viongozi wakuu na Wagombea zatosha

    Cha ajabu mafisiem ndio yamekuwa mstari wa mbele kusambaza huo ujumbe ili kutufitinisha....I say UKAWA kwa ukombozi wa Tanzania.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Kwani NEC na ZEC ni tume huru?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

    Unaelewa maana ya typing error? Au umekurupushwa na nape?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

    Tena itashindwa kwa kishindo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

    Hongera kwa kuliona hilo maana umeandika mwenyewe kuwa CCM itashindwa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wasioishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi tunakutana hapa!

    CCM ni baba wa UFISADI, kama kweli Magufuli ni mzalendo na Muadilifu kama mnavyompamba kwenye Mabango barabarani atwambie kwanini alikuwa dalali wa uuzaji wa nyumba za serikali, kwanini amenunua Meli chakavu kwa mabilioni ya pesa? kama taasisi iliyo chini yake Tanroads inanuka kwa rushwa je yeye...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wasioishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi tunakutana hapa!

    Dr Slaa aingie kwenye list of shame maana amekubali kutumia na wazazi wa UFISADI
  13. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo machache mazuri kati ya mengi yaliyofanywa na CCM toka mwaka 1977-2015

    Mbona kodi hizo hizo hamuwapi walimu, madaktari, manesi, askari ili nao wazitumie maana nao wamezilipa serikalini.
Back
Top Bottom