Recent content by arvin

  1. arvin

    Kabati la viombo used linauzwa bei sawa na bure!! 130,000/=Tu

    Nimeiyona nia yako ila umbali ndio tatzo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. arvin

    Nahitaji kitanda 5/6

    Mkuu kwa hiyo hela yako utasumbuana tu bure na watu njoo na elf 80 nikupe futi tatu na nusu kwa sita na godorolake kama utalihitaji na hiyo elf 10 utafanya usafir Sent using Jamii Forums mobile app
  3. arvin

    Kabati la viombo used linauzwa bei sawa na bure!! 130,000/=Tu

    mzigo bado upo wakuu kwa wale wote walio nitumia msg
  4. arvin

    Kabati la viombo used linauzwa bei sawa na bure!! 130,000/=Tu

    Habari za weekend wana jf Nauza kabati la viombo bei rahisi, limetumika ila bado lipo katika ubora wake. (Kama ni service maybe kubadilisha kapeti tu) Ni la mbao ila limenakshiwa tu kwa rangi Bei ni laki moja na thelasini tu 130,000/= Location: banana ukonga Call: 0694251677 Sababu ya kuuza...
  5. arvin

    Apple macbook buree!!

    Mkuu vp mzigo bado upo au umeshatoka? Maana nautaka sana!
  6. arvin

    Samsung Dous GT-s5302 inuzwa tsh 50,000/=tu

    PICHA NDIO HIZO
  7. arvin

    Samsung Dous GT-s5302 inuzwa tsh 50,000/=tu

    Iko vzur sana kimuonekno na hata kiufanisi wa kazi, imetumika miezi nane but bado inadai. Ila battery lake haliko strong sana... So kama uko interested call,text or whatsapp +255713943432 Nipo dar es salaam
  8. arvin

    Blackberry bold 9780 kwa bei ya kutupa! tsh 40,000/=top

    Vp mkuu mbona unashangaa, wakati nimeandika hapo juu bei ya kutupa?
  9. arvin

    Blackberry bold 9780 kwa bei ya kutupa! tsh 40,000/=top

    Imetumika miezi mitano ila bado ipo katika muonekano wa kuridhisha na istoshe haina tatizo lolote ile! Call,text kwa maelezo zaidi au whatsapp kwa picha na nk. no:0772242688 napatikana dar es salaam
  10. arvin

    Pata a smartphone kwa bei ndogo

    kuna elf 50 ya faster hapa mkuu! call +255713943432
  11. arvin

    Nauza huawei y530 kwa 120000

    chukua 90k call +255713943432
  12. arvin

    Android phone for 50,000

    Mi nakupa elf 41000 faster Call 0713943432
  13. arvin

    Smartphone inahitajika!

    Mwenye tecno h5 au p5 na mimi anichek plz nina tsh 80,000= cash Npo dar Call 0713943432
  14. arvin

    Tecno h5 inaitajika faster

    dah mkuu salio langu huko halifiki ndugu .!
Back
Top Bottom