Recent content by Aron Mbungu

  1. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    natafuta mtu wa kubadilishana wa mkoa wa RUVUMA aje MBEYA niko wilaya ya chunya shule ya msingi ifumbo namba yangu ni 0757142971
  2. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu kwa hili la kurudisha walimu shule ya msingi umechemka

    kwa serilkali hii kuna ck maprofessor nao watarudi kufundisha primary
  3. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 16,000 hatarini kukosa mikopo ya elimu ya juu

    Ni kweli atusaidie hata na sisi tunaodaiwa na board baada ya kukosa ajira huku dunian
  4. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea kuomba mkopo 2017/2018

    Mwaka huu ni tofauti na mingine kwamba ukikosea tu tayari umeshakosa mkopo hata kama umekidhi vigezo vya loan
  5. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania NACTE: Taarifa kwa umma kuhusu wahitimu wa stashahada wanaokusudia kujiunga na shahada

    weka option ya chagua kama haipo kwenye list alafu jaza details kwa kutype mwenyew
  6. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nimechaguliwa TEKU degree ya computer science mwaka huu ila sijaenda kuriport kwa sababu sijapata mkopo na ili nipostpone ni mpaka kufanya usajiri kwanza yaani kulipa ada Sasa je naweza kuomba tena mwakani?
  7. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nimechaguliwa TEKU degree ya computer science mwaka huu ila sijaenda kuriport kwa sababu sijapata mkopo na ili nipostpone ni mpaka kufanya usajiri kwanza yaani kulipa ada Sasa je naweza kuomba tena mwakani?
  8. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu ina Mabondemabonde

    Tatizo wizara inaongozwa na wanawake tu
  9. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Aliapply chuo kupitia NACTE toka Mwezi Juni hadi leo hajajibiwa, je atapata?

    Mdogo wangu aliapply chuo nacte toka mwezi wa sita mpaka leo hajapata majibu je kuna uwezekano wa kupata? Yeye ni diploma holder ya information technology na ana GPA ya 3.7
  10. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    Kwa style hii itabidi watoe majina zaidi hata ya batch 20 maana hiyo batch ya kwanza ni sawa na education college pale udom
  11. Aron Mbungu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kupata mkopo huku umekosa chuo?

    Ni ngumu sana pia hata kama umepata chuo na mkopo alafu hujaenda chuoni ulikochaguliwa kwenda kusaini hulambi hata mia hela inarudi heslb
Back
Top Bottom