wadau naombeni msaada kidogo hapa, nimefanya shopping amazon kwa kutumia anuani ya comgetway, na baada ya kujaza kila kitu, hapa mwisho kabisa amazon wameniletea order total tshs 170000, je hii fedha ina include shipping kutoka comgetway mpaka hapa bongo? au inabidi niwalipe tena comgetway...
Yeah kweli nimeona inakwenda around USD 17000 excluding shipping nafikiri, sasa hizo kampuni zilizokua zinatoa kwa fee flani hapa bongo zipo? Pia niliiangalia hiyo frontier DL 600 eBay used ipo chini kidogo je niiagizie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.