Recent content by arnold alley sazy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mgombea udiwani CCM, Livingstone Nkya afariki dunia baada ya kampeni

    Sisi wote ni waja wa m/mungu na kwake ndiyo marejeo yetu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Mgombea mwenza wa UKAWA Juma Duni Haji ahutubia wakazi wa Mtwara

    Imekaa vzr sana hiyo.ukizingatia jinsi gani CUF walivyo na ushawishi mkoani Mtwara
  3. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Wanaobisha kwamba ACT siyo CCM B inafaa wajiulize kuwa ACT wametoa wapi pesa zitakazowasaidia kuzunguka nchi nzima??? Ikumbukwe tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi,CCM wamekuwa na tabia ya kuanzisha tuvyama vyama ili kupunguza nguvu ya upinzani.kuanzisha chama ni gharama kubwa ndio maana...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Yaani mtu anakurupuka kwny usingiza na kabla akili yake haijakaa sawa anatuletea thread za kitoto namna hii. Tatizo watu wa CCM mnapenda kupiga ramri.
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

    UVCCMAGUFULI nao wana msongo wa mawazo. Chama chao kimekumbwa na musiba mzito hivyo kila mtu analia kwa style yake.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    nachukua fursa hii kuwakaribisha ndg Dr,Ghalib Bilal na ndg Proff Mark Mwandosya pale Jangwani siku ya kesho.
  7. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Kwenye UZINDUZI Tunawataka Hawa Watu La SIVYO..

    kuweni na subira.Aug 29 siyo mbali huwenda tukawaona
  8. A

    JamiiForums Tanzania BBC wakifahamishwa Idhaa ya kiswahili inafanya propaganda za nani, wabongo wote watapigwa chini

    Abunuasy hata mimi sikumwelewa kabisa japokuwa onaonekana alitumia juhudi zake zote kutaka kutuelewesha
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

    Hivi mnajua njia zilizotumika hadi Zitto akaacha jimbo la kigoma kaskazini na sasa mgombea wa jimbo hilo ni Peter J Serukamba wa CCM?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu "Wapumbavu na Malofa" Kauli za Dr. Lwaitama na JV Mwapachu

    Duuh! Sijasomea Science ya Siasa kwa hiyo kuna baadhi ya maneno yamenilazimu kutafuta dictionary.
  11. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Nadhani taarifa hii ilichelewa kutoka maana tayari matangazo yamesambazwa kuhusu Chadema na UKAWA kufanya mkutano wao 29th Aug pale Jangwani.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Eti Dr.Bana ni mwangalizi wa Uchaguzi Tz

    wasomi wa elimu ya juu tuliokuwa tukiwategemea ndio hao hao wasio na msimamo
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Serikali yetu haijawahi kubuni au kufanya jambo likafanikiwa kwa 100%. Hata hivyo siyo mbaya angalau wakati huu wa kuelekea uchaguzi,kodi za watanzania zinafanya kazi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

    CCM wanawasema wenzao wa Chadema kuwa chama chao hakina office kumbe hata wao hawawezi kukununua speaker na vipaza sauti? Si ajabu waliwahi kuchangishana pesa za kununulia vyombo vya matangazo alafu pesa zikaliwa na wakubwa.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa mkikimkiki tarehe 30 Agosti, 2015; Mada UTAIFA ( sera za vyama)

    Mdahalo utawahusisha nani na nani? maana hatuwezi kutuma maswali bila kujua yanamlenga nani.
Back
Top Bottom