Recent content by arisefarm tz

  1. arisefarm tz

    JamiiForums Tanzania Miche ya Acacia /mizanzibari.

    Mmoja hatusafirishi, ila ukifika kwenye vitalu vyetu utapata kwa TZS 400
  2. arisefarm tz

    JamiiForums Tanzania Miche ya Acacia /mizanzibari.

    Acacia mangium (mkesia/mzanzibari) ni mti wa mbao ngumu ambao huvunwa baada ya miaka 7 hadi 10 baada ya kupanda. Miche hii inapatikana kwenye vitalu vyetu vilivyopo kilombero morogoro kwa gharama nafuu. Ukichukua kuanzia miche 500 hadi 9999 bei ni 400 /mche Ukichukua miche 10000 hadi 99999 bei...
  3. arisefarm tz

    JamiiForums Tanzania Miche bora ya mitiki inauzwa

    Naambatanisha picha
  4. arisefarm tz

    JamiiForums Tanzania Miche bora ya mitiki inauzwa

    Arisefarms tz ni wauzaji wa miche bora ya miti ya mbao (mitiki). Kwa gharama nafuu. Mitiki ni mti wa mbao ngumu ambao huvunwa baada ya miaka 15 -20 baada ya kupanda. Gharama zetu zipo ifyatavyo. Ukichukua kuanzia miche 500 -9999 bei ni TZS 400. Kuanzia miche 10000 hadi 99999 bei ni TZS 350...
Back
Top Bottom