Recent content by ngenya

  1. ngenya

    Kwanini ukitoka polisi/jela ndugu wanakwambia uvue nguo zako ili zichomwe moto

    Wakuu leo hapa nyumbani nimetengewa ugali, nile tonge ngapi?
  2. ngenya

    Maandamano ya Chadema yaanza kuiunguza CCM, Viongozi wake waweweseka

    Mlistahili kubezwa na kupuuzwa.
  3. ngenya

    Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Kwa vile Mungu umeruhusu dhihaka, kula chuma hicho!!!
  4. ngenya

    Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Call me 'Dadii' with that loving sound, you got all my undivided attention.
  5. ngenya

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Kama mnajua kazi yao ni kueneza sera mbona wanashindia kumsema Makonda ili angalau wasikilizwe?
  6. ngenya

    Kutengua Uteuzi wa Viongozi wa Siasa kwa Tuhuma za Jinai kusitumike kama mbadala wa kushitakiwa

    Una hoja, waharifu washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
  7. ngenya

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Dr Nchimbi keshasema ukiwaza 'kuwapoteza' wapinzani ni upumbavu na ukemewe.
  8. ngenya

    Kwa mazingira ya sasa, Sioni Kitakachomzuia Ridhiwani Kikwete kuwa Rais wa Tanzania hapo Baadae

    Kama Samia kaweza nchi hii kila mtu anaweza kuwa Rais.
Back
Top Bottom