Recent content by Aremi

  1. A

    KERO Mfumo wa kuomba mikopo bodi ya mikopo una changamoto

    Bodi ya mkopo ilitangaza kufungua rasmi dirisha la maombi leo tarehe 15/6/2025 ila tokea asubuhi mfumo wao haujakaa sawa kupokea maombi hayo. Changamoto ni mtandao au mfumo?
Back
Top Bottom