Recent content by AREA 255

  1. AREA 255

    SoC02 Giza la NHIF

    Ipo haja ya kuweka mpango mkakati wa kuilinda NHIF Kwa nguvu zote.
  2. AREA 255

    SoC02 Giza la NHIF

    Hapana shaka mfuko wa taifa wa Bima ya afya ni hitaji la msingi la ulinzi wa afya kwa wananchi wote, katika kujenga taifa lenye siha linaloweza kupambambana na adui maradhi ili kujenga jamii iliotayari katika kujenga uchumi endelevu kuelekea uchumi wa kati kamilifu kama maelekezo ya dira ya...
  3. AREA 255

    Msaada kosa la udanganyifu, mahakama itaamua nini katika hili?

    Je, kama kesi ni ya jinai (kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu) mtu amehukumiwa kifungo cha nje na kutakiwa kumlipa mlalamikaji lakini hakuweza kumlipa mlalamikaji kwa muda uliopangwa na mahakama bila sababu za msingi ni kitu gani mahakama itaamua?
  4. AREA 255

    Msaada materials ya foundation course open ofc 014 business mathematics

    habari watanzania wenzangu? Wadau kwa yoyote mwenye materials ya foundation ya OFC 014 OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, naomba anipatie au anitumie kwenye email yangu. charztz@gmail.com shukrani za dhati kwenu wadau.
Back
Top Bottom