Recent content by ARCHANDRAMU MBUNGU

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    Naombeni niangalizieni ndugu yangu huyu. S.3823/0016/2010 na s.1658/0068/2009
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bwana HESLB anakuja.!

    Hivi nyinyi mnaotoa lugha ya matusi katika kijiji hiki cha wanajamii ,mnazani wote wanaoishi humu wapo hivyo kama cha kuandika huwa mnakosa BASI MUWE MNASOMA TU YA WEZENU au MUHAMIE KWENYE VIJIJI VYENYE WAZAWA WENYE TABIA HIYO.tuwe na staha ,hekima na busara kwani katika jamii inayoishi humu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    Ndugu mimi nilijaribu siku 5 zilizopita ilikuwa haiwezekani,Na nilipojaribu jana na leo ile sehemu ya kulog haionekani
  4. A

    JamiiForums Tanzania New selected Students to join TEKU

    WANAJAMII naombeni munitazamie dada yangu anaitwa FIDEA MAPUNDA
  5. A

    JamiiForums Tanzania New selected Students to join TEKU

    DADA asante kwa kunitakia KITABU CHEMA.MUNGU AKUBARIKI
  6. A

    JamiiForums Tanzania New selected Students to join TEKU

    Asante kwa kunijuza dada .pia samahani kwa kukosea.sikujua dada
  7. A

    JamiiForums Tanzania New selected Students to join TEKU

    Kaka ubarikiwe sana
  8. A

    JamiiForums Tanzania New selected Students to join TEKU

    KAKA nashukuru sana kwa kunijuza MUNGU akubariki sana .NIMEFURAHI SANA KUPATA NAFASI HII
  9. A

    JamiiForums Tanzania New selected Students to join TEKU

    Wanajamii naombeni msaada wa kuniangalizia jina langu.ARCHANDRAMU MBUNGU.Natanguliza shukrani
  10. A

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Tcu selection

    Asante kwa taarifa yako.Endelea na ukalimu wako MUNGU atakulipa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Watapata mkopo?

    Ajuti mtu hapaaa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Tcu selection

    Humu ndani sasa inaonekana tunao vindagateni
  13. A

    JamiiForums Tanzania MSAADA -m TCU SELECTION 2013/2014

    Jamani nimeandikiwa prossesed ktk nafasi ya kwanza kwenye chuo cha teku.je nijipangeeeeee?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jina helsb

    Wandugu tupendane tuwe na huruma ,majibu mazuri tupeane,kwani hakuna mkamilifu wala mwenye akili zote zaidi ya mungu.hamuoni viongozi wetu wasomi tunaowategemea wakati mwingine wanakosea tena mjengoni!?
Back
Top Bottom