Recent content by arafat1984

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

    Hapo inawezekana akapeta mimba au asipate coz yai la mwanamke hua linakaa masaa 72 tangu lipevuke na pegu ya kiume ni masaa 48 hivyo km mbegu ilimwagikiajuu ya chupi na ikatelezea ndani au usawa wa K yakakufana na majimaji anaweza pata mimba nikirudi kwny mada yako umesema kuwa zilipita siku...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhali kwa waliotuma maombi ya kazi sehemu mbalimbali.

    Hiyo kweli coz kunajammaa yangu alipigwa km laki 8 hivi na mpaka sasa kaz hajapata
  3. A

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA wilaya ya Karatu ahamia CCM na kupokelewa na Mwigulu

    Huyo hajitambui akijitambua atarudi nasi tutampokea
  4. A

    JamiiForums Tanzania Symbion Power: Intelligence watupu

    Kwann asiweke hayo majina?
Back
Top Bottom