ukiwa na mawazo finyu lazima utasema tu hivo ila wenye akili zao timamau wanatambua umuhimu wa ccm na magufuli ndani ya taifa la tanzania hao figo na ini waliokufa ni lowassa na sumaye ambao mmewachukua nyinyi na sisi kubadilisha figo mpya ya magufuli ambayo ni safi sana sasa ccm imebaki imara...
We unadhani Rais analala na mkewe halafu asubuhi anasema jeshi liende somalia? Labda mgombea wa chama chenu ndo atakuwa na sifa hizo.
Maamuzi ya Rais yanatoka baada ya kujadiliana na baraza la Mawaziri, washauri wa Rais kwenye suala husika na hata usalama wa taifa pale inapobidi.
Hakuna Rais...
Alichokua anakifanya ni uigizaji wa kitoto sana, alikuwa anawaomba viongozi wa dini wamualike kwa makusudu naye anakwenda kwenye harambee na wapambe wake aliowapa pesa zake mwenyewe kisha naye anachangia mabilioni ya pesa.
Alikuwa anavuta ushawishi wa kisiasa kupitia pesa zake, na alifanikiwa...
Mamvi hawezi kusema chochote, ndo kawaida yake kutojibu kitu anaporushiwa tuhuma zake. Badala yake utamsikia Mbatia anataka kumjibia utadhani alishiriki kwenye huo mpango wa fedha.
Kukaa kimya kunaashiria ni kweli kafanya hivo na hana utetezi, lakini pia ni dharau kwa watu wanaomshabikia mwizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.