Recent content by aquenous

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    Wizi tu huu.. hivi jamani tunafikiri inawezekana kufikisha baadhi icc na kuacha wengine kisa kujisalimisha???? Huku sio kuonana wajinga tu!!! na hii tasisi ya dini inafundisha nini jamii kwa hili... Tukauze, afu tujisalimishe.. kusamehewa na kufichwa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    Hii inakuwa kama danganya toto. Hiliswala linajulikana ni haramu, na hii tasisi ya idini isifanye watu wajinga, sisi ni watu wazima, sio wakuambiwa jiseme mwenyewe na sitakuhadhibu, hao wabunge kujihusisha na madawa ni kwamba wamekosa uadilifu na uaminifu kwa kazi yao na nchi nzima...
Back
Top Bottom