Recent content by april june

  1. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Ukifatilia sehemu yenye tuta na kuwekewa alama za uvukaji (Pundamilia) sio sehemu ambayo watu wengi wanatumia kuvuka kwenda majumbani kwao au kupanda dalaladala. Na kama ile ndio sehemu sahihi waliochagua kuvukia kwanini kituo cha daladala kipo sehemu nyingine tofauti na wao waliotaka watu...
  2. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Yes, ni sehemu yenye wavukaji wengi sana, ila hakuna alama ya kuwalinda wavukaji. Ni neema za Mungu tu na busara za wenye vyombo vya moto ila nje na hapo tungeshuhudia ajali nyingi sana.
  3. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Uhalisia ni kuwa hakuna alama sahihi zinazozingatia watembea kwa miguu, kifupi ni kuwa… Vuka at your own risk.
  4. A

    KERO Changamoto za watembea kwa miguu kuvuka daraja la Kigamboni

    Habari za usiku wakubwa. Naomba Tanroads kwa kushirikiana na NSSF waangalie namna nzuri kwa wakazi wa darajani wakati wa kuvuka barabara kwenda upande wa pili baada ya kushuka kwenye daladala. Kama umetembelea daraja la kigamboni au ni mkazi wa darajani utakuwa unalifahamu ili swala. Hakuna...
  5. A

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nina LG 43 inch kwa 600000 USED.
  6. A

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    LG SMART 4K, 700K (700,000/=) BEI INAZUNGUMZIKA, HAINA TATIZO LOLOTE. INCH 43. CONTACT: 0685734918 LOCATION: KIGAMBONI DARAJANI.
  7. A

    Tamthilia ya Siri ya mtungi (wahapahapa) ndio filamu bora kuwahi tokea Tz

    Nachelea kusema naungana na wewe kwa asilimia kubwa.
Back
Top Bottom