ndogo kabisa inakost kumi na tano ikiwa tupu ikiwa na pampu kwa ajili ya kupush hewa na mapambo kama maua na mawe yake special ni 20elfu so una plus na kumi na tano jumla 45 samaki wapo aina zote chakula ni elfu 3000 kile kifuko cha icecream ambacho kinakaa mwezi na siku kadhaa si ukichukua...
acheni kudanganya watu alikaribishwa kama wageni wengine tu karuuche alikua anawahoji watu kwenye red carpet sasa ulitaka asitabasmu
kipindi cha kura za mama south africa mlikua mnasema diamond akimbiza kura za mama na porojo kibao diamond ni msanii wa kawaida sema ana michezo ya kihuni...
dr ndodi anapatikana pale biafra anafanya mikutano yake ya injili zijui kamaliza au bado kwa urahisi zaidi we google maana google ina kila kitu hata ukitaka kujua nani anatembea na mke wako we google tu
kabla ya ushauri wa kitaalamu kwanza jibu maswali haya
mtaji wako ni sh ngapi hata kama huna sema ule uwezo wako wa mwisho ni ngapi
wananchi wako wana hali gani kiuchumi na kielimu kwa ujumla
Idadi ya wakazi wa mtaa wako ni kawaida au wengi kiasi au crowd of people
kwa sisi tuliosomea mipango ya kuteka soko hatujastuka ila kwa mazuzu na ma bogus
zamani kama mlikua mnasikiliza kipindi cha powerbreakfast ilikua kawaida kugombana ili kuteka akili za watu
na naona wamefanikiwa kwa kweli
mnatakiwa kujua albam inakuja so muwe attention kwa lazima kua kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.