Hello wakuu kuna nafasi ya kazi katika duka la reja reja linalopatikana maeneo ya Lumala B. Anahitajika mfanyakazi wa KIKE mwenye elimu ya kuanzia form4, umri 18 - 30
Ni vyema awe ni mkazi wa Mwanza katika maeneo ya Lumala, Pasiansi, Kiloleli, Nyasaka - Msumbiji.
Deadline trh 30/08/2019...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.