Recent content by Apiwe

  1. Apiwe

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji mkojo ni inakuaje?

    Amiina
  2. Apiwe

    JamiiForums Tanzania Upandikizaji mkojo ni inakuaje?

    Asubuhi Kuna jamaa amepata dharula hapa mtaani na kukimbizwa hospital na baada ya uchunguzi jamaa amegundulika kuwa kibovu cha mkojo kimeziba. Katika tiba ikawa kama inashindikana kutokana na gharama za matibabu na wafanisi wetu wa tiba hiyo hii imetokea hapa Dar. Ndugu wa jamaa wakawa...
  3. Apiwe

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wamegombana na mama mmoja hivi mtaa wa pili kisa mimi

    Juu Yako ila ujumbe umefika
  4. Apiwe

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wamegombana na mama mmoja hivi mtaa wa pili kisa mimi

    Unajua kila baada ya dk nafungua I'd mpya, ila haikuhusu hii
  5. Apiwe

    JamiiForums Tanzania Dada zangu wamegombana na mama mmoja hivi mtaa wa pili kisa mimi

    Salama Mama wa miaka 40+ kuonyesha kunitaka kimapenzi, ana watoto 5 wakubwa , mtoto wake wa kwanza ana 22, ana Mme wake wa ndoa anaishi naye na wana maisha ya uchumi wa kati na ana biashara anaendesha tofauti na za mme wake Kilichotokea yule mama aja ni-face mimi , aliwaface dada zangu na...
  6. Apiwe

    JamiiForums Tanzania Jaribu kujiweka katika nafasi ya Samuya, ungefanyaje kutuliza upepo?

    Afanye mchakato wa kubadili katiba haraka iwezekanavyo na katiba isikilize Nini? Wananchi wanataka iwe-1 Baada ya kubadili katiba asikae mda mrefu madarakani ajiuzulu-2 Atengeneze mazingira ya chama pinzani kichukue madaraka-3
Back
Top Bottom