Recent content by Apendwae

  1. A

    CCM yamwangukia Bashe!

    Ha ha hahaaaaaaaaaa! Dogo Bashe, Na bado! Tunasubiri utangaze nia tena 2015, tuyatoe mengine, Silaha iliyotumika si ya kukuua ila ni kukutaarifu kuwa yapo makubwa yanakuja iwapo utajifanya unataka kugombea tena 2015; Nakushauri kama unataka usigombee Nzega. Kama Yesu alivyomwambia Petro nami...
  2. A

    CCM yamwangukia Bashe!

    Nsoga, Mimi nina shida sana ya kuuweka ukweli hewani. Na hujanielewa kabisa Bwana Ntambaswala. Sasa naanza kumbomoa kama ifuatavyo: - 1. Bashe ni raia wa Somalia na hajawahi kuwa raia wa Tanzania japo amesomeshwa na Tanzania kwa nia ya kurudi na kuungana na "alshabau". Hata baba yake ameukana...
  3. A

    CCM yamwangukia Bashe!

    Asalaam alykum waungwana! Husen au Hussein kama wengine wanavyopenda kumuita ni kijana anayejua kucheza karata zake japo si msafi na hafai kuwa Mbunge wa Nzega. Kiukweli hajatumwa na mtu japo wapo walio nyuma yake. Bado nakusanya data zake na Muda si mrefu nitazitoa hewani. Ninawatafuta...
Back
Top Bottom