Recent content by ApafraM

  1. A

    JamiiForums Kumwekea mtu maneno kwenye VIDEO.

    Kwa nini wasitumIke it specialists kutoka dsm computing center au nje ya nchi? Kumbuka computer inaweza kukuvua nguo ukaonekana unafanya jambo fulani kumbe si kweli
  2. A

    JamiiForums Kumwekea mtu maneno kwenye VIDEO.

    Hii tech inabidi polisi na serikali wawe nayo makini, leo nafanyiwa mimi kesho wewe, take care!! Maana si upande mmoja tu wanajua hii tech pengine na upande mwingine ataibuka mtu atengeneze kwa kigogo mkubwa wa serikali, je, tutafanyaje? Pse the right should be observed!!
Back
Top Bottom