Kwa hotuba ya raisi inayiendelea Ni wazi raisi msimamo wake Ni serikali mbili. Je kwann tume iliundwa? Je kwann hasioneshe uwezekano wa serikali moja? Je kwann tume ya katiba isishitakiwe kwa kutumia fedha za kodi ya watanzania kwa kuleta mambo yasiyo Na tija?. Naomba wana katiba mnisaidie
"I feel as youthful and energetic as a boy of nine,by Mugabe" This sentence mentioned by the political hero of Africa, clicked in my mind and felt it was Mwl Nyerere mentioning it in front of Tanzanians at his birthday but unfortunately was not because Nyerere passed away October 14, 1999 in...
Kwakweli ni hatari kubwa nchi hii, wanasiasa wetu ndiyo hao, kuna haja kubwa ya kutathimini siasa zetu na matokeo yake. Hili ni tatizo la taifa kukosa mfumo maalumu wa kuregulate maamuzi ya wanasiasa, Hii inamaanisha kuwa kama bunge zima lina wabuge 323 ina maana kuwa linatugarimu kiasi cha Tshs...
Ninaingiwa na hisia kuwa Kitilia haujaiva katika siasa, kufukuzwa katika chama sio nafasi ya wewe kuendeleza malumbano, mwanasiasa mkomavu utulia na kufuatilia chama kinaendaje, utoa ushauri katika chama kwa masuala yanayokigusa chama ili kiendelee. Kufukuzwa uanachama ukaanza kupayuka payuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.