Recent content by Anton mwita

  1. Anton mwita

    Baraza la Congress la Marekani laiandikia Ikulu ya Tanzania kuwa hawatasita kuichukulia hatua Tanzania kwa yanayoendelea nchini

    Wasilete wehu wao hapa,kwani wao wamekuwa mungu?halafu wao tangu lini wakawa na democracy?
  2. Anton mwita

    GE2020 Kuna umuhimu wa kupiga kura 2020 wakati tume iko mfukoni kwa Rais?

    Miaka yote mlikuwa mnapiga kura time ilikuwa kwenye mfuko wa nani?
  3. Anton mwita

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Baadae akageuka na kuanza kukana alichokuwa anahoji,huu ndio tunaita usukule,
  4. Anton mwita

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Wewe ndio fala,umesema tunanunua kwani umesikia wanatusaidia?na nyie ndio mnajitiaga kihelehele za kupanda hizo ndege?ila najua nafsi zinawasuta sana
  5. Anton mwita

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Huyo snowden yuko wapi sasa?
  6. Anton mwita

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Tuko kama milioni hamsini na tatu,nyie mko wangapi?
  7. Anton mwita

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Anayetaka kucheza na nchi yetu hayuko salama hata dk moja,lazima azimike kama mshumaa,note it,heri kuwa masikini ndani ya nchi huru kuliko kuwa tajiri ndani ya utumwa.Wambieni coloured people we are tired with them.
  8. Anton mwita

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Misaada ilishafungwa siku nyingi,Ila nchi inasonga mbele.
  9. Anton mwita

    GE2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

    Zitto sasa hivi amekuwa kama zembwela.Mtangazaji wa mtaa kwa mtaa
  10. Anton mwita

    GE2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

    Porojo za babu jinga,ccm will lead the country for more than 50 years.
  11. Anton mwita

    GE2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

    Nyie watu wenye asili ya ukimbizi mnapenda kumwaga damu,hapa Tanzania sio rahisi nendeni huko huko,
  12. Anton mwita

    GE2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

    Mpaka huwa nawaonea huruma ,tangu 1995 mpaka Leo lugha ni ile ile ccm haitakiwi ccm haitakiwi,ila inaendela kuongoza,sasa sijui hiyo ccm unayosema wewe ni ipi.
  13. Anton mwita

    GE2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

    Hivi huwa mnatumia akili kuwaza kweli? Yaani wewe ukiichukia ccm basi haitakiwi na watanzania.Jinga sana
  14. Anton mwita

    Urais 2020: Twende na huyu

    2020 rais kila mtanzania mwenye akili timamu anamjua,nasema mwenye akili timamu anamjua. Kwa kuwa tu ni suala la kikatiba otherwise ilikua tusonge mbele bila uchaguzi.
Back
Top Bottom