Recent content by anti-ssm

  1. A

    CCM mtapaswa kushukru kwa kupumzishwa baada ya Oktoba

    Tuwaseme tuuh..! Unajua huwa wanaamini tumenunuliwa binafsi viongozi wa upinzani hakuna anayenifahamu ata mmoja.
  2. A

    CCM mtapaswa kushukru kwa kupumzishwa baada ya Oktoba

    Muungwana vitendo; CCM kwa miaka 50 mliyoongoza ni sawa kwa nchi kuwa haya yafuatayo:- Kufa kwa viwanda, zamani kulikuwa na viwanda vya kila namna Tanga leo hii hamna kitu, viwanda vya nguo km, Dunguta tex Morogoro, Urafiki, Mwatex, Mutex kwa kutaja vichache na viwanda vingine vya maziwa...
  3. A

    Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Nchi inahitaji kukosekana kwa ssm madarakani...! Msgufuri si chochote in ssm system
  4. A

    CCM kama firauni wa Misri wamepigwa upofu

    Bila shaka wewe unaumwa uzembwera...!
  5. A

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Agenda sasa hivi Tanzania bila ccm inawezekana!
  6. A

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    Please think before you react..
  7. A

    Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    Zoezi la uhakiki lilivyofanywa kihuni kwa watu kutojua naamini wengi hawajahakiki na huenda tusipige kura. Mimi kama IT personnel najiuliza kama data zilifika kwenye database iweje una retrieve data back majina hayatokei yote? Programmer atakuwa ame cancel baadhi ya code ili kutoa limited number...
  8. A

    CCM kama firauni wa Misri wamepigwa upofu

    Ata firauni alikuwa jeuri hivi hivi, kumbe ni Mungu alikuwa na mpango wake mahususi kikwete firauni wa ssm..
  9. A

    Nimeota CCM inashinda Uchaguzi - Safari ya ndoto

    Ila jipe moyo...! Kumbuka asilimia 99% ya ndoto huwa hazitimii na huwa ni uongo mtupu...! Itakuwa kinyume chake take my words.
  10. A

    CCM kama firauni wa Misri wamepigwa upofu

    Ssm na viongozi wake kukalia kutukana watanzania kwa kuwaita majina ya aibu kama WANAO HAMA NI MAKAPI, MARA OIL CHAFU, MARA WANATUIBA PANYA ROAD. Binafsi niwaonye SSM waache dharau na matusi yatawagharimu NAPE na Kinana kauli zenu zitawaandama na siyo mara kwanza Magufuri aliwambia kigamboni...
Back
Top Bottom