Recent content by Anthony Ishika

  1. Anthony Ishika

    ACT Wazalendo: Bandari ni Hoja ya Kiuchumi, Tunaunga Mkono Uwekezaji

    Leo Jumatatu tar. 4. 9.2023 Saa 5:00 asubhhi Chama cha @ACTwazalendo kitatoa Uchambuzi, msimamo na Mapendekezo yake kuhusu sakata la #Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na @DPWorldUAE. ----- Tangu Mwezi Juni mwaka huu kumekuwa na mijadalambalimbali kufuatia taarifa ya Azimio la Bunge...
  2. Anthony Ishika

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awajibike kwa kujiuzulu

    Natoa Pole kwa Familia zilizopoteza ndugu zao, Majeruhi wanaopatiwa matibabu Hospitali ya rufaa Bukoba na Watanzania kwa Ujumla, kwa ajali ya Ndege iliyotokea Jana tarehe 6 Novemba, 2022 Matukio mawili ya majanga yaliyotokea nchini kati ya Mwezi October na Novemba, na uzembe wa Uokozi...
  3. Anthony Ishika

    Sifa za kiongozi mwenye ujasiri na asiyeweza kuuza eneo la utawala

    Kiongozi mjasiri huangalia Macho kwa Macho. Hata awapo na adui aliyemzidi kwa ufahamu na zana za kivita huwa hapindishi macho na maneno. Katika Picha ni Anthony ISHIKA akiongea na Mkutugenzi wa TCD Bi Bernadetha na Ishika akimuangalia Macho kwa Macho. Nini maoni yako kwa kijana huyu kiongozi...
  4. Anthony Ishika

    KIONGOZI MWENYE MAONO ANAKIZA VIONGOZI WADOGO, HUYO ATAZUNGUMZWA KINYWANI MWA VIONGOZI WA NYAKATI.

    Ni kawaida Kusikia Viongozi wakubwa wakiwatolea Mifano Viongozi waliowalea kiuongozi. Wapo wanaotolewa mifano mizuri na wanaotolewa mifano isiyo mizuri. Viongozi mliopo kwenye nafasi Serikalini na kwenye taasisi mbalimbali, tuna jukumu la kuhakikisha tunalea na kulelewa wale ambao tunachipukia...
Back
Top Bottom