Recent content by ansynshoba

  1. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani, sometimes the devils does good deeds

    Huo ndio msingi wa hii scene, vingine vyote ni kuwapotezea watu focus.
  2. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Haina Mamlaka kumzuia yeyote Kuhudhuria BMK! UKAWA ni Kundi/Genge tu, Sio Taasisi Rasmi!

    Mi nina wasiwasi account ya Pasco ya JF imeingiliwa, Pasco ninayemjua mimi hawezi uliza maswali kama hayo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    Kwahiyo unataka si tufanyeje? tuichukie CDM kwa hilo, haha haha imekula kwako, hatujaichukia kwasababu ya kubambikiziwa kesi ya ugaidi ndo ije kuwa hili, pole!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo atakuwa EATV hot mix live kuanzia saa 12 jioni hii

    asante kwa taarifa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu mgumu kwa kamanda Mbowe kuhusu CHADEMA kujitoa kwenye tume ya katiba

    Mi nashangaa CDM kwanini wamechelewa kutoa tamko la kujitoa, wakati mimi binafsi nilishaapa kutoshiriki kwenye mchakato huu wa kutafuta katiba mpya ya CCM, na hata kwenye kupiga kura kupata wajumbe wa mabaraza ya katiba sikuwa na mda kujisogeza kugombea wala kupiga kura. Walioshiriki wanasema...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    Maelezo meengi, ambayo yanazidi kunidhirishia kuwa wewe ni fisadi. Hizo tuhuma ni nzito huwezi ukajibu krlahisirahisi namna hii.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

    Du kumbe kuna hadi wa shift za usiku, nilikuwa sijui, sa wa shift ya usiku kazi mnafanyia wapi, lumumba au nyumbani?
  8. A

    JamiiForums Tanzania CCM yapongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata Lema

    Da njaa mbaya sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini CHADEMA waweza futwa au kusambaratika kabla ya uchaguzi mkuu

    wakati mwingine kama huna data za kutosha kuhusu kitu ni bora ukakaa kimya tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Mi sijakuelewa katika tukio hili alitaka atulieje, asiende kwenye tukio kuwatiliza wanafunzi wakati wao walimuitaka wakitegemea ndiye kiongozi atakaye wasikiliza?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ninalaani vikali kukamatwa kwa Lema! CHADEMA msipochora mstari...

    Chilosisi sijui kalala? make na huyu jamaa akiona tu post zinazoegemea upande wa CDM lazima akimbilie huko kupost ujinga wake. Bado sijaelewa hawa watu Nape anawalipaje, kwa kuwa wa kwanza kupinga kitu kinachoegemea upande wa CDM au kupinga tu? kama kupost mapema Chilosisi atakuwa anachukua...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Dah kweli ukiwa CCM inabidi uwe mnafiki kupita kiwango.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Asante kaka, shukrani kwa taarifa.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    Kilichonisukuma kuweka CV hii ya professor Kahigi, ni post moja hapa kwenye forum iliyokuwa inamdhihaki msomi huyu wa namna yake, hili jambo limenikera sana. Unajua kuwasikiliza waropokaji kama Mwigulu na Lusinde tumejikuta tunasahau kwamba si hulka ya wasomi kuropoka ili waonekane wanajua sana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Eng. Manyanya: CHADEMA si chama cha wakristo, aeleza alivyopanga kumkamata Mbowe

    Masisiem bwana, muone huyu nae, yani anaona kaandika point hapo
Back
Top Bottom