Recent content by ANSILA

  1. ANSILA

    JamiiForums Natafuta wauzaji wa mafuta ya parachichi

    Kama kichwa kinavojieleza, Tafadhali nielekeze nakoweza kuyapata. Asante.
  2. ANSILA

    JamiiForums Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

    Hapana Kipo Wilaya ya Kigamboni si Mkuranga Na si Kisarawe bali ni Kisarawe two ambayo iko Wilaya ya Kigamboni eneo jipya la viwanda na uwekezaji Barabara ya Dar Zoo
  3. ANSILA

    JamiiForums Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

    Hapana ipo Kigamboni Dar
  4. ANSILA

    JamiiForums Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

    Iko Wilaya ya Kigamboni kupitia njia ya Kisarawe Two
  5. ANSILA

    JamiiForums Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

    661 sq m Njoo kwa cm 0715454455
  6. ANSILA

    JamiiForums Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

    Mbona sio m80??? M 3 tuu
  7. ANSILA

    JamiiForums Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mwasonga

    Mawasiliano 0715454455
  8. ANSILA

    JamiiForums Msaada kuhusu kuhamisha shule binafsi kwenda shule ya Serikali

    Nitafuatilia kuhakikisha kuwa haiwezekani kwanza Asante sana
  9. ANSILA

    JamiiForums Msaada kuhusu kuhamisha shule binafsi kwenda shule ya Serikali

    Ndio Alifaulu Mawenzi Secondary Nimesha lipa ada yote ya mwaka huu Lengo ni ahamie form 3 akishamaliza mtihani wa form 2
  10. ANSILA

    JamiiForums Msaada kuhusu kuhamisha shule binafsi kwenda shule ya Serikali

    Mtoto wangu yuko kidato cha pili shule ya binafsi. Kutokana na hali ngumu ya kifedha naomba kujua kama kuna uwezekano wa kumhamishia shule ya Serikali Niko Dar asa
  11. ANSILA

    JamiiForums Naomba wazo la biashara ndogo ya mtaji Milioni moja

    Ndugu hamjambo, Naombeni mchango wa mawazo tafadhali. Nina milioni moja. Pia nina fremu iko eneo flani hivi uswahilini ktk makazi ya watu. Ni biashara gani naweza fungua uswahilini kwa mtaji huo na inilipe? Msaada tafadhali
  12. ANSILA

    JamiiForums Hivi mtoto akichaguliwa shule teule anakuwa boarding au day?

    Katika selection kwa baadhi wameandikiwa shule na imeonyeshwa kabisa kuwa ni shule ya kutwa Lakini kwa wale wengine imeandikwa tu “shule teule” je, itakuwa kutwa au ya kulala?
Back
Top Bottom