Ukisoma vizuri maoni ya Mzee ES, utajua Tanzania ina watu wa fikra za namna gani, na utajua kwa nini hatuendelei. Viongozi wengi tulionao,, na wanasiasa wanaotamba sasa wana fikra za aina ya ES.
Binafsi simjui, lakini mawazo yake yanatosha kunieleza mtazamo wake. Bila shaka, kwa mawazo haya...