Tunampongeza sana Mh Waziri Mkuu kwa hatua alizochukua juu ya hili, tunaamini haki itatendeka maana tuliyoandika hapa ni machache sana, kuna watumishi wengi wameumizwa wao na familia zao sababu tu ya Mkurugenzi kutaka kupiga pesa na watu wake walio wizarani (Waliona wawatoe hao kwenye nafasi...
PART 2
Kwanza kabisa tunashukuru kwa serikali na vyombo vyake kulipa uzito unaoshtahili suala la Mamlaka ya Maji-Mpanda.
Chanzo chetu cha siri sana kutoka wizarani kimetujulisha juu ya
Mpango wa kutisha watumishi
Mpango wa kuficha ukweli
MPANGO WA KUTISHA WATUMISHI
Kuna mambo mengi...
MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa Mpanda kuanzia tarehe 31-08-2022. Wiki moja baada ya kuanza majukumu yake mapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.