Recent content by Anold1

  1. A

    5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

    Bei kweli ni ubwa mno kwa data za airtel na isitoshe wao pia wakati mwingine network inakuwa chini sana hadi unashindwa kufanya mambo yako. Cjaona sababu ya kuwa na bei kubwa hvyo.
  2. A

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Haya ndo matatizo ya watu kuzoea kutumia ubabe eti tu kwa sababu ni viongozi lkn wanasahau kuwa kutatua matatizo kwa kutumia busara na hekima ndo kitu cha muhimu; mtu kutokuwa kiongozi kusifasiliwe kuwa ni kutokuwa na uwezo wa kufikiri na kutafuta logic. Viongozi wetu watumie sana akili katika...
Back
Top Bottom