Recent content by Annony

  1. A

    Gadafi utavuna ulichopanda; na Mungu alie hai hatokuacha madarakani ndani ya 3months

    Kama unamzungumzia Mungu aliye juu plz use capital letters! Tutamtofautishaje Mungu aliye juu na mungu wa dunia kama unaandika in that way? Mbona jina lako watumia capital letters? Sorry kama nitakukwaza ila nina confidence na ninachokisema!
  2. A

    Msaada wa mawazo

    Mwambie apeleke kituo cha Don Bosco Kimara Suka motel. Kituo kiko opposite na kituo cha daladala cha suka kuelekea town. Pale pana hali mbaya sana kama still hakijahamishwa. Be blessed,
  3. A

    Msaada jamani

    Uandishi kazi kweli kweli!
  4. A

    Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

    Mnaokoa ndoa gani? Hvi umuhimu wa ndoa ni watu kuishi nyumba moja au ni kuheshimu yale makubaliano mliyowekeana toka mwanzo? Tangu hapo hakuitaka ndoa ndiyo maana alitoka nje. Hata mrembe, mpake asali ukweli unabaki pale pale huo ni uovu. Kikubwa ni kubadili tabia na kuacha kuficha uovu! Neno la...
  5. A

    Jamaa katuma wrong sms kwa mkewe!

    Mnafundishana uovu! Hivi hapa jf kumbe ni darasa la wale wanaoelekea ile njia pana? Your days are numbered!
  6. A

    Je, hili la wanaume lina ukweli?

    Yaan hakuna mambo ya msingi yakujadili tena ni ngono tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Kweli aziniye na mwanamke hana akili! Ndiyo kusema akili zimeshawaisha baada ya zinaa au? God forbid!
  7. A

    Nimsaidiaje huyu jamaa yangu! Huwa anaota

    Mwambie aache uzinzi. Hata kama akiacha kuota, hata kama mkewe asipojua Mungu anajua na anaona. Amwogope Mungu kwanza kabla yakumuogopa mkewe au UKIMWI. Hakuna marefu yasiyo na ncha!
  8. A

    mume wangu jamani

    Ahsante dear. Ila nakushauri endelea kuhudhuria ili Mungu azidishe ulinzi katika ndoa yako nawe pia ukuze imani yako kwa kulijua neno. Siku zote nyumbani mwa Bwana ni pazuri kama nini! Nakutakia baraka za Mungu pamoja na familia yako. Stay blessed ma sister!
  9. A

    mume wangu jamani

    Tunashukuru dada kwakutuletea feedback. Nasi tupo pamoja katika kumrudishia Mungu utukufu. Ila ningependa kutoa ushauri kuwa tunapoandika jina la Mungu au Yesu basi tutumie herufi kubwa maana haya ni majina na pili ni majina yenye nguvu tofauti kabisa na majina yetu ya kawaida. Kwaweli mtu...
  10. A

    Mtoto huyo kavutwa kope na mwalimu(Adhabu!)

    Hata mimi nakuunga mkono. Haiwezekani adhabu yake ilenge kwenye macho! Mungu atamuahibisha tu hata akijificha! So sad! Mungu amponye mtoto.
  11. A

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Bado nasubiri jibu lako baba ubaya. Uliahidi utanijuza juu ya maswali yangu mawili.
  12. A

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Ahsante nitafurahi ukinijuza. Ubarikiwe.
  13. A

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Je anatibu magonjwa tuau anatoa na dawa kwa wenye shida yakupata mtoto? Plz nijuzen jaman nina ndugu yangu anashida hiyo. Na je wenye HIV walioanza kutumia dawa nao wanapona?
  14. A

    Kila mmoja anang'ang'ania awe ''JUU''.

    Awe juu kivipi hebu fafanua! Kiuchumi, kielimu, kiutawala au? Maana Mungu alimpa Adamu msaidizi hakumpa mjakazi. So nachojua kwenye ndoa nikusaidiana na siyo maswala ya mtwana wala muungwana. Kikubwa kila mmoja ajue anawajibika kwa mwenzake.
  15. A

    Uchumba wa utata huu

    Usisahau kwenda kupima afya. Ili ujue future plans zitakaaje!
Back
Top Bottom