Mfumo wa elimu wa Tanzania hasa kwa ngazi ya sekondari mpaka chuo kikuu hauna mwelekeo wa kumpa mwanafunz mbinu mbadala ya kutotegemea ajira zaidi na sio kujiajili.
Kwa mtu aliyesoma kozi ya ualimu Leo ukimwambia aende akajiajili ni sawa na kumpa kazi ya kuanza kujifunza kitu kipya kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.