Recent content by ANNIELISA A

  1. A

    How to use JamiiForums effectively

    Rais ana kigugumizi cha kutoa maamuzi, mimi naona ajiuzulu nchi imemshinda, kama wafanya ndiyo tumemchoka kabisaa, ameuza nchi kwa wachina, wamarekani na waindi. anjua akistaafu ndio atakapo kimbilia, bora aende sasa. Nchi ina matatizo yeye anajificha south Africa, aangalie viongozi wa ukweli...
  2. A

    How to use JamiiForums effectively

    vipi huyu nape na katibu mkuu wake wameingia wazimu nini? wanazukunguka mikoa wakiimba wimbo wa kujivua gamba. sasa mbona viongozi wote ni gamba. nchi yenye iko kwenye giza. leo yupo Moshi atasema nini? kwa watu wa Mo-town. sisi atutaki longo longo. kiongozi wa CCM in nyerere tu wengine gamba...
Back
Top Bottom