Recent content by Annie john

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Kampala International University 😅😅
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo hiki mlichotufanyia continuous ni nini?

    Binafsi nashangaa kwanini wanalaum wangeshukur japo kwa kidg walichobahatika kupata. Wengine tumekosa kabsa na hatun matumain hata ya kwenda chuo kikuu na ni first year😔
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jamani watu bado wanasota na Selection za Chuo

    😅😅😅
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kibadili chuo cha nacte

    Yeah inawezekana. Lkn pia kwa walio na nia ya kwenda diploma ni bora kipindi wana jaza sel form wawe wanaweka chuo first selection ndo njia nyepesi kuchaguliwa vyuo vya serikali ukitegemea Application hapo competition inakubana sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya kozi hizo

    Sina uelewa sana na hizo course lkn kunawezako wana case kama yako kuna thread waliomba msaada na wengi waliwashaur hiyo ya IFM jarib kuzipitia pia.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Yuko confused huyu bado hajaamua moja. Kuna thread kwel alidai kaconfirm UDOM BSc in physics. Huku bado kashikiria na Kampala 😅😅🙌..!! Awe makini tu katika kumake conclusion coz Watu watashaur sana ila mwisho wa siku wa kutoa maamzi ni yeye mwenyew.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kusoma degree na certificate au diploma kwa mara moja

    😅😅kwanini lkn?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Vyuo vya pharmacy ni vichache kwa serikali ni udom na MUHAS na ushindan ni mkubwa kupata ni ngum sana. Ukipata nafasi Kampala upande wa pharmacy soma . Wako vzr na ni moja ya chuo kinachoaminika kwa course ya pharmacy degree.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanafunzi wa Form Six kusoma Diploma sawa na Form Four failure?

    😅😅😅nimelia sana Anyway sio kila aliepita diploma ni form four failure wengine tulipata one zetu safi kabsa za o level tukaamua kwenda diploma lengo ni kutimiza ndoto
  10. A

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2024/2025 zinatoka lini?

    Kwa vyuo vingine bado etty
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kuanza Certificate kama unataka kusoma Diploma?

    Haiwezekani ni lazima kuanzia certificate .
  12. A

    JamiiForums Tanzania Enzi za utoto uliaminishwa jambo gani la uongo?

    [emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom