Habari Tanesco. Eneo la Five ways bar Mikocheni mmeanza tena kutukatia kwa ubalozi. Tangu Jumamosi mnakata kila siku. Tukiuliza mnasema line yetu ina hitilafu. Hitilafu gani ina ratiba? Hairekebishiki miezi kadhaa sasa? Watu WA huduma kwa wateja hawapokei simu ukichagua option ya Kiswahili. Poa...
Habari Tanesco. Sisi wakazi wa Mikocheni, eneo la Five ways Bar, kuelekea kwa Daffa, tunapata changamoto ya umeme mtaani kwetu, kwanza kulitokea shoti ya umeme ambayo iliunguza vifaa kwenye kaya nyingi hapa mtaani, na umeme uli[porudi haukuwa na nguvu ya kutosha. . Pia tangu tarehe tarehe 22/10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.