Habari za jioni ndugu zangu,
Mimi ni mama wa watoto wawili mapacha, nilipewa ujauzito nikiwa form one tu, nikajikuta nashindwa kusoma kabisa, Roho iliniuma sana,ila sasa nimezoea.
Aliyenipa mimba ndio huyu mwanaume niliye naye, mume wangu, kama miezi miwili imepita kaka yangu alinitumia pesa...