Recent content by annatee

  1. A

    JamiiForums Tanzania Risasi ya Kichwa

    Mwanaume akisaliti its okay mwanamke akisaliti ni dhambi kubwa mno haisameheki.But kosa si ni lile lile ulitoa nje na yeye akapokea nje.Mnapokuwa na good times mnaenda kwa michepuko magonjwa na shida zikiwapata unataka Mke ahangaike kwa nini usiende huko ulikokuwa unakula raha
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

    Kenani Kihongosi hawezi kuuliza swali kama hilo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Baba levo amefanya vibaya wao ndio wanahamasisha wafanyakazi wa umma kutunza taarifa za wateja wakija mtandaoni wanataka mtu aseme details haipo sawa.Na anaongea nae kwa ukali kumcover rafiki yake
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Lucas wanaccm wenzenu Polepole na Nchimbi wako wapi maana alikuwa ex mwenezi wenu na nyie kama vijana wa ccm hamsjindwi kufahamu walipo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

    Nimeshtuka sana hakwenda hata kutoa pole kwenye msiba wa Mama
  6. A

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Natamani Waziri Dkt. Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae

    Tukitoa mambo ya chama huyu mama ni muwajibikaji sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

    Endeleeni kumdanganya mama yenu nyie ndio mtasababisha anguko lake
  8. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

    Oktoba 29 yeye hataisahau na sisi pia. kuna binti oktoba 29 mtu wake wa karibu hakurejea simu iliita tu mwishowe haikupatikana sikuonana nae mda juzi nikamuuliza vipi mlipata akasema hapana familia ilifanya maziko bila mwili na vitu vyake vikagawanywa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Mwenzie alitaka kumuua TL yupo futi sita chini ajiulize yatamkuta yapi?Saddam Hussein,Ghadafi,Iddi Amin,Hitler walikuwa na mkono wa chuma kuliko yeye waliishia wapi?Dunia duara hii
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% nyuzi zangu zinasomwa na wahusika sasa nawambia hivi anaemtuma Mwaipopo ni mpumbavu kama Mwaipopo

    Kwa nini mtu asiwe real atoke yeye mwenyewe aongee badala ya kutuma mtu au watu?Kama kweli unajielewa why usiseme weww hayo maneno utume watu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Ili watu watabasamu, haki na uwajibikaji lazima zisisitizwe

    Atatolewa muda si mrefu mwenzako alianza hivyohivyo wakamla kichwa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Watu wanaomzunguka ndio shida.Kumshikilia Lissu hakusaidii chochote na inaendelea kumtia doa kumbuka yule alipaswa kuwa amekufa kutokana na zile risasi so hana cha kupoteza.Watu wanazidi kumchukia anajiongezea pia maadui ndani na nje ya ccm
  13. A

    JamiiForums Tanzania John Nchimbi ameshapatikana?

    Hakwenda kutoa pole kwenye msiba wa bi mkubwa au bi mkubwa alimwambia asiende
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Alimchochea nani?Mtu mwenye umri zaidi ya miaka 18 unamchochea?
Back
Top Bottom