Naimani wengi bado mtakuwa na kumbukumbu nzuri wakati baadhi ya waliyo kuwa viongozi wakubwa wa nchi yetu wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu wakihama vyama vyao ambavyo kimsingi viliwalea kwa mapenzi makubwa na bora sana, na wengine wakiwa ni miongoni mwa waasisi wa vyama vyao.
Miaka miwili...
Ni sahihi kwa usemayo, naamini misingi unayo iamini ndiyo misingi ambayo kw sasa Mhe. John Magufuli anaisimamia kwa sasa.
Na bila shaka, nachelea kusem ya kuwa kwa mwendo ambao nchi yetu kw sasa tuna enda nao, miaka kumi ijayo tutapiga hatua kubwa.
Ni dhahiri wewe ni mzalendo kamili wa taifa hili, kwani umeweza kujua, kujali na kithamini mchango wa mashujaa wetu wa taifa hili ambao kwa dhamira ya dhati wamejito kw ajiki ya kuwatumikia watanzania.
Sina sababu ya kupinga mawazo yako kwani ni misingi unayo iamini, japo ukweli utazidi kuchukua nafasi yake hasa kw kipindi hiki ambacho nchi yetu imepata kiongozi anaye jali haki na maslahi ya watanzania wote. Bila kujali tofauti za itikadi zao, nadhani wanao piga kelele ni kutokana tu na ile...
Sahihi mkuu.
Naamini waelewa kama wewe ndiyo hazina ya taifa hili, si kama hao mashabiki wanao baka siasa za kihuni na kutaka kutuharibia nchi yetu.
Naimani sana na aina na mfumo wa siasa ambayo kwa sasa nchi yetu inayo, japo wakupinga hawakosekani kwani wanatetea maslahi yao binafsi.
Ni ukweli usio pingika ya kuwa tangu kuibuka kwa hoja ya Demokrasia nchi nyingi zimekuwa zikipata viongozi wabovu na wasio faa, historia ina mifano mingi ambayo haihitaji degree kuweza kufahamu.
Japo najua kuna wengi mnaweza kupingana na mawazo yangu, lakini tukitazama nchi nyingi zenye uongozi...
i
Kwa watu ambao hawajui wala kuona maendeleo yanayo fanywa na CCM, naimani ni miongoni mwa vijana wachache ambao huwa wanathubutu kukataa hata mama zao kwamba hawajazaliwa na wao.
Ni kwamba hauoni mema ya CCM au dharau tu??!!!!
Sio kukimbia nadhani waliona ni upotevu wa nguvu kwao kwani hamkuwa na mwelekeo wa kutaka kujua na kuukubali ukweli.
Ila kwa kuwa mimi ni bingwa na hodari wa kufundisha watu wenye vichwa vigumu, kazi hii ni ndogo sana.
Hakuna kundi ndugu yangu, bali ni uwazi ambao lazima ueleweke.... na kupingana na ukweli ni ugonjwa wa kisaikologia, ambao vijana wengi kwa sasa mnao kutokana na pepo chafu la upinzani ambalo limewakumba.
Lakini utajiru hauletwi na CHADEMA, lakini pia yapaswa ujue kuwa wakati huo nchibilikuwa katika hali gani ya uchumi na uchumi wa aina gani, mwaka 1986 baada ya SAP nchi ilinanza kuingia katika mfumo mpya wa uchumi na ndiyo tukaanza kuruhusu kufungua milango. Lakini kwa akili ya kawaida kwa...
Katika kumbukumbu zangu siku moja nikiwa katika kipindi cha darasani, mwalimu wetu wa Policy. Baada ya kuingia darasana aligawa karatasi kila mtu akaambiwa a wish chochote ila asiandike jina lake.
Baada ya zoezi hilo karatasi zote zilikusanywa na baadae kuchambua moja baada ya nyingine. Lakini...
Watanzania tunataka Rais gani tena zaidi ya huyu anaye tuhimiza kufanya kazi, kama mnataka maandamano nendeni Libya basi hapa kazi tu, tumechelewa kwa hiyo lazima tuongeze mwendo tuwahi kufika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.