Recent content by Anjoa

  1. Anjoa

    Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    Nina samsung Anycall ya korea. Inaonekana program zake bado ni za korea kiasi kwamba baadhi ya part za menu bado zinatoka kwa kikorea. Kibaya zaidi ni kwamba hizi operation zetu za kibongo kama M-PESA na zingine ambazo unaanza na nyota na kumalizia na reli kwenye simu hii ni ishu, kwani hainipi...
Back
Top Bottom