Maisha hayako complicated kihivyoo...ndio maana hata wewe utasikiliza nyimbo ya bongo fleva za miaka ya 2000 na gen Z wakakushangaa....wengine wamechukulia for fun ila wengine inawakumbusha enzi, sioni inakukera kama haikuathiri uhuru wako
Sijui mnyama gani anayepanga kuua wenzake kwa mamilion..😆😆😆
Labda kinachotutofautisha ni brain, ya binadamu ni kubwa na complex.. ina process vitu vingi na vya kijinga kuliko wanyama...
Lema kama unaona utaweka moto kwenye petrol chama kikose muelekeo..bora usiitishe press, people will never forgive you. Step down with dignity intact..
Hii topic 🤗
Sina sababu ila naamini yamepangwa na sir God, kila mtu Mungu anajua destiny yake, kama wewe ni wa motoni utafuata certain path hapa duniani, na kama ni wa mbinguni hapa duniani matendo yako yatareflect wewe ni wa mbinguni. What I don't understand is WHY iwe hivyo...
Pole sana mkuu..
Unaweza usipoteze kazi ila ni muda wa kukaa chini na kufanya tathmini kama uendelee na hio kazi??,; kupanic na kupata PTSD litajirudia mara ngapi in the future?! Sababu nature ya kazi yako ni utakutana na same scenario tena na tena......
Hahaha umenisema mimi...
Niliingia keto diet, napungua kilo mbili zinaongezeka tatu..😆..mwishoe nikaamua kuridhika na kitambi changu lol
Sikumbuki figures ila inasemekana 80% ya fat people wanaolose weight, kilo zinarudi baada ya muda kidogo..the struggle is real!
Uko sahihi Father Kitima.
Watu wanajadiliana maridhiano kama vile wakubwa wa vyama wakutane kugonga kahawa ikulu na kujadiliana maridhiano..
Wakati process sahihi ni serikali iliyopo kuachia madaraka na uchaguzi kurudiwa upya! Wananchi wakiona wamemchagua kiongozi wanayemtaka wataona voices...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.