Recent content by aniny

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya biashara ya kusafirisha kuku kama nipo nje ya Dsm

    bado, mimi nipo nje ya dsm sijaweza bado kufika na kuchek ndo mana nikaomba mwenye uzoefu anipe hints na wateja au maeneo ambayo naweza kupata
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya biashara ya kusafirisha kuku kama nipo nje ya Dsm

    mambo vp jamaa naweza kupata ushauri kuhusu kufanya bishara ya kusafirisha kuku kama niko nje ya dsm, ikiwemo bei, namna za usafirishaji na gharama, maeneo naweza kupa soko na vingine kama utakua na idea za kutosha kunisaidia
Back
Top Bottom