Recent content by angwisa1

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa kununua miti aina ya milingoti na mipine

    Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi ya miti 1000 karibuni wote wenye uitaji kwa mawasiliano nipigie namba 0629097093
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu inayojirudia rudia na mikasa niliyopata inanifanya nichanganyikiwe

    Habari za mapambano wana Jf? Mimi ni kijana wa miaka 27 ni muhitimu wa chuo kikuuu x na nipo nasubili ajira. Na saivi najishughurisha na bodaboda pia nalima. Kuna ndoto inanijia mara kwa mara yaaani " naota nipo shule nafanya mitihani ambayo ni migumu ambayo simalizi, nyingine nipo kwenye...
Back
Top Bottom