Recent content by angulupeye

  1. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akirudi nchini akamatwe awekwe sehemu salama

    Mabeberu ndo akina nani? Hao hao unaowategemea kwa msaada wa bajeti yako au wengne? Shame on you
  2. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

    Ndugu wana jamvi Kuna hiki kinachoendelea ndani ya bongo politics Tuliyashuhudia ya EL sasa ni zamu ya MB. Swali la msingi la kujiuliza je kuondoka kwao ccm ni kunafanana kwa maana membe ameondoka km lowasa na atarud km lowasa au kuna tofauti kati yao?????
  3. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe rasmi ACT Wazalendo, kutambulishwa kesho

    Ndugu wana jamvi, Kuna hiki kinachoendelea ndani ya bongo politics. Tuliyashuhudia ya EL sasa ni zamu ya MB. Swali la msingi la kujiuliza je kuondoka kwao ccm ni kunafanana kwa maana membe ameondoka km lowasa na atarud km lowasa au kuna tofauti kati yao?
  4. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Iran hapa Tanzania na Kenya iangaliwe kwa jicho la tahadhari kubwa

    Acha udini wako toa hoja yenye mashiko na ushahid wa kutosha Vinginevyo we ni wale wale tu
  5. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Anguko la Bernard Kamillius Membe kisiasa limekaribia

    Buku 7 inazid kuwaumbua watu afu mbaya zaid wengine hata hyo buku 7 yenyewe hawapati ila pumba tu
  6. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

    Iweke na cha CHADEMA tuone Sent using Jamii Forums mobile app
  7. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mzigo had th 26 jmn Sent using Jamii Forums mobile app
  8. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Zitto: Siogopi kubambikiziwa uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha (USD 2M), nakuja!

    Kuna watu vichwa maji kweli kweli Yan we huelew km hayo maneno ZITTO alikua anaongea sio kuandika then mwandishi kaandika kile alichoongea Zito kwa hyo ulitaka aache baadhi ya maneno? Au ttzo liko wap mtu akifanya code mix vile akiongea? Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
  9. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Kutakatisha fedha ndio kitendo gani hiki?

    Habarini za majukumu wana board, Leo tukiwa aidha tunasherekea krismas au tukishuhudia wenzetu wakisherekea krismas, Bado undugu, upendo, umoja, na mshikamano wetu uko pale pale katika kuhakikisha tu kama ndugu tunayafikia malendo yetu. Poleni kwa uchovu na usumbufu wa hapa na pale mimi kama...
  10. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

    Na bora hata vilivyokufa Viwanda vyenyewe vilikua regional imbalance angalia hapo hakuna kiwanda lindi, mtwara, wala songea inshort ukanda tu ndo ulitawala hapo Kusini ilitengwa snaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Chuki ya Yericko Nyerere dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki yake binafsi na sio ya CHADEMA

    Usaliti wa ZZK uko wap? Km ye msaliti then kina Katambi, Mtatiro, Dr slaa, tuwaite kina nani?
  12. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Chuki ya Yericko Nyerere dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki yake binafsi na sio ya CHADEMA

    Tatizo letu hatutaki kuukubari ukweli hata km ukweli ni mchungu utabaki kuwa ukweli tu. Yani kuuchukia au kuukubali ukweli hakubatilishi uhalisia wa jambo hilo Cku zote ukweli utabaki kuwa ukweli tu Angalia hapo NONDO kajaribu kusema kile anachohis yeye ni ukweli na katoa na evidence kutoka...
  13. angulupeye

    JamiiForums Tanzania Membe amegeuka Lulu kwa media, wanatamani aseme neno

    Hahaaaaaaaaaa Mtoa mada unataka kumkosoa membe ila unakosa mashiko Ni kwel membe ana mapungufu yake ila ni kipi kikubwa kibaya alichowafanyia wapinzani enzi za utawala wa mkwele? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom