Jamaan watu wengine wanapenda tuu sifa kweny kuchagua course,mwisho wa siku uliemaliza nae fm cx akakosa chuo mnaenda kusanda wote kitaa.umaarufuwa saiz njaa ya badae na njaa ya saiz umaarufu wa badae
Guys!! Y cant u think a little bit more? Dont u knw dat kuna fm cx walienda jeshin so wanahitaj muda wa kujiandaa!? Hzo tr hazjakosewa zipo sahihi,tatzo lenu mmezoea kucram kua frst yr ndo wa kwanza kufka chuo.the life style is alwayz changing.muwe mnafikiria kwanza
Guys!!! Yan level of thinking capacity yenu ndio ndogo kias hicho!? Wana akili zai ndo mana wameeka hivyo,hizo tr zipo correct kabsa coz kuna frst wamechaguliwa hapo na wapo jeshin so watahitaj muda wa kujiandaa ndo maana tr ya new bachelor iko mbele kuliko continuing bachelor.msicram kila kitu...
Guys!! Y cant u think a little bit more? Dont u knw dat kuna fm cx walienda jeshin so wanahitaj muda wa kujiandaa!? Hzo tr hazjakosewa zipo sahihi,tatzo lenu mmezoea kucram kua frst yr ndo wa kwanza kufka chuo.the life style is alwayz changing.muwe mnafikiria kwanza
Jamaan huo ndo ukweli wa mambo ila nyie ambao chuo chenu hakijatajwa don fil bad coz mausha mazur hayatoki kweny chuo ulichosoma by the way ajira anaeza kupata mtu yyt kwa chuo chchot ila yo competence and GPA itakufanya uwe smwhr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.