Recent content by angakwaanga

  1. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Ndgu zangu wadau wote wa elimu hebu ingien ktb facebook ya Ezekiah Oluoch oneni alichokoment, hivi lakn huyu mtu yupo sawa kiakili? mnisaidie wadau ukwel anakera
  2. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Hakuna chochote ambacho tutashndwa kukijua kutoka ofisin kwako wewe uko peupeeeeee, hivi unataka kuwa kama baadhi ya Marais wa Afrika ambao hawataki kutekelezwa kwa matakwa ya umma mpaka waondolewe kwa risasi? ask historians watakueleza kuwa wanaopingana na nguvu ya umma huondokaje madarakan...
  3. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Wewe umeifanya cwt kama yako binafs,eti think tank, tumebain kuwa baada ya ww kuondoka tambaza sekondari uliendelea kuwa undermine walimu kwa malipo ndan ya chama uliyokuwa ukiyafanya kinyemela sasa tutaendelea kukuweka hadharan ili wapiga kura tar 28 pale ngurdoto arusha waamue kumchagua mtu...
  4. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Moja ya mambo ya msingi ya mama mbezi yalikuwa kwamba wwe uliamua kuisajir Bank kama private ambapo wanahisa wasingezidi hamsini, ina maana ya wazi kwamba tangu mwanzon ww ulishaamua kuwatosa walimu wote, Mbezi alikuwa anapigania kuwa bank iwe public ili walhmu wote wanachana wawe wana hisa za...
  5. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Ezekiah Oluoch (naibu katibu mkuu CWT mara nying umekuwa na confrontations na Hellen Mbezi mwenyekit wa baraza la wadhamin CWT na kwenye moja ya vikao vya baraza pale Dodoma royal vilage utakumbuka kuwa sekretariet, Kamat tendaj ya taifa, na wafanyakaz wa CWT Makao makuu mlitolewa nje ya ukumbi...
  6. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    TDCL, ni kampuni ya kishikaji. sasa jaman Oluoch kwa nin mnakuwa na kampun ya kishikaji kwa pesa za chama? hebu thibitisha kwamba pia humpigii debe Stela Kiyabo, kuwa makamu wa Rais, naomba ukiri uovu huo. movement for change 2015 CWT haiepukiki kama ulivoandika kwenye facebook yako. tafakar...
  7. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Na kwamba haujamtuhumu mwenyekit mmoja mikoa ya kanda ya ziwa kwamba asipambane na Mukoba na uthibitishe kwamba hujawah kukopa kwa ajili ya powertilers na kwamba hujafuta mikopo yako kinyemela na uthibitishe kwamba hujafanya hujuma kwenye Teachers Develpment Company Limted ambayo wakati wa...
  8. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Mheshimiwa Oluoch, dah pole sana kwa shuguli huko Philipines (ufilipino) ulikokuwa umekwenda kwa mwamvuli wa NHIF, tunaamini umetua jana airpot Dsm, na kwa kuwa ulipokuwa huko huenda ulikuwa bize kiasi kwamba hukuweza kujibu tuhuma dhidi yako sasa jiau tuhuma zinazokuhusu maana eti unalalamika...
  9. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Mwl Oluoch lazima akiri kujiita yeye ni think tank la chama ni kauli inayojenga dharau na fedheha kwa walimu
  10. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Kwa sasa lazima tufanye mabadiliko ya kweli ktk CWT tuna vijana weledi kabisa na wasomi wazuri nashauri walimu wote mchaguen vijana hao wazee wamejisahau wamefanya chama genge la wahuni
  11. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Amedai pia kwamba kuna wafanyakaz wa ofisin kwake wanamhujumu kwa kutoa detailed information ambazo hasemi ni zipi, kwa hyo basi, inaonesha kwamba. 1. Alikopa powertilers na mkopo akaufuta wakati katbu mkuu msulwa hakuwepo 2. Kwamba alikuwa na nafasi ya juu Teachers Development Company...
  12. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Amedai pia kwamba kuna wafanyakaz wa ofisin kwake wanamhujumu kwa kutoa detailed information ambazo hasemi ni zipi, kwa hyo basi, inaonesha kwamba. 1. alikopa powertilers na mkopo akaufuta wakati katbu mkuu msulwa hakuwepo 2. kwamba alikuwa na nafasi ya juu Teachers Development Company Limited...
  13. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Oluoch amewatumia ujumbe kupitia whatsup wajumbe wa kamat ya utendaji (KUT) Kwamba kuna mtu ame hack face book yake na kwamba bdo Stela kiyabo ndie chaguo lake, na sekretariet hebu oneni unafiki mkubwa huu. kwanza amekubali kwamba alifungua fb, na pili anakubali kuwa alimnadi kiyabo kabla ya...
  14. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Hebu muulizen alipoingia kuwa kiongozi cwt alitokea shule gani? maana hata alivopata ni muujiza alikuwa ktk makampuni fulan, tulifanya kosa hlo mwaka huu hatutaki kurudia kosa atoke atoke atoke ni mzigo mzito kwa chama MUNGU ANIONE
  15. A

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Inachefua sana kuona Oluoch anajiita think tank la chama, amekalia wizi wa mapesa ya chama, wakat unakuja s muda tutaweka hadharan ubadhirfu uliofanywa na huyu anajiita think tank. ni fedheha tunafanyiwa walimu hebu atoke mwaka huu akale alizoiba ukwel hatumhtaj
Back
Top Bottom