Wait wengine hupenda kujilazimisha kuota naoto za kufikirika na kizihalalisha kuwa intejinsia Yale imemweza hivyo Kimbe ni ndoto za kifikirika zinazoambatana na Jodi na kujipendekeza.hatari sana kuishi kwa kujipendekeza na uongouongo.
Ni elimu mzr hainabudi kutawanywa kwa umma ili watu wachukue hatua.tatizo la watanzania hawapendi wengi wao kusoma iwe jarida,kipeperushi gazeti hata vitabu.nijuavyo Mimi ni kwamba maarifa mengi yako katika kusoma au maandishi.
Nchi yetu ni nzr sana,kwa Sababu ni nchi ya kulalamika kila jambo lkn hakuna action negative inayochukuliwa kupinga mambo yahovyo yanayotendwa na wenye mamlaka wakati dhahiri wanafahamu mamlaka Yao yanatokana na hao wanaowabagua kila uchao na uchwao.inasikitisha sana.nafurahi kuzaliwa nchi hii...
Faida ya usumbufu na visasi ni kukosa kabisa hata kile kidogo ulichostahili kukipata.ulimbukeni na umimi jumlishasha usifa unasababisha haya yote.TRA inatakiwa kutoa elimu ya mlipa kodi sio kukomoa watu.
Wakati mwingine bodi za shule zisipokee maneno ya upande mmoja na kuyapa uzito zaidi badala ya kuyachuja na ubinadamu kutamalaki,wafikirie kama watoto hao wangalikuwa watoto wao je adhabu hiyo yakipuuzi wangawapi.ni unyanyasaji na wanawajengea chuki kubwa sana mioyoni mwao.gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.