Mkesha wa mwenge umefanyika katika kijiji cha Nyakanazi kata ya Lusahunga wilayani Biharamulo jana tarehe 8/7/2013 mwenge huo umekabidhiwa kwa mkuu wa mkoa wa Kagera leo asubuhi tayari kwa kuukabidhi kwa mkuu wa mkoa jirani wa Kigoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.