Recent content by Andrometer

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa waandishi wa vitabu, majarida, hadithi, au ripoti za utafiti

    English & Swahili
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa waandishi wa vitabu, majarida, hadithi, au ripoti za utafiti

    Hey there, If you're seeking someone to meticulously refine your content, look no further. With my expertise in grammar, spelling, and punctuation, I can help your words shine with clarity and precision. As a proofreader, my passion lies in perfecting written material. I have an eagle eye for...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa waandishi wa vitabu, majarida, hadithi, au ripoti za utafiti

    Kama wewe ni mwandishi ambaye unatafuta mtaalamu wa kuhariri kazi zako ili kufikia kiwango cha juu, nipo hapa kukusaidia. Nimejitolea kusaidia kuimarisha muundo wa maandishi yako, kusawazisha sarufi, na kuongeza ufasaha wa lugha ili kazi yako iweze kung'aa. Tafadhali wasiliana nami ili...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa "shipping agent" kutoka India kwenda Tanzania

    Aisee umeelewa msaada ninao uwamba kweli?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa "shipping agent" kutoka India kwenda Tanzania

    Mwenye ofisi india na Dar, mzigo unafika kwake india naupokea kwake Dar. Haijarishi anatumia title gani ya ofisi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa "shipping agent" kutoka India kwenda Tanzania

    Wadau, nataka kuagiza mzigo kutoka India kuja Tanzania. Mwenye kufahamu freight/ shipping agent anayefanya usafirishaji, mfano wafanyavyo Mapembelo kwa China na Tanzania.
  7. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Mwenye 750,000 haje achukue
  8. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Limenishangaza, lakini ndiyo hivyo tena hatufahamiani humu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Kama unavifahamu tufaamishi mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Karibuni
  11. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Tu stick na mada.
  12. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Yaa bongo changamoto, ila wanao weza zivuka ndio wanaotoboa
  13. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

    Camera and other descriptions [emoji116]
Back
Top Bottom