Andrometer
Member
- Feb 26, 2019
- 81
- 67
Kama wewe ni mwandishi ambaye unatafuta mtaalamu wa kuhariri kazi zako ili kufikia kiwango cha juu, nipo hapa kukusaidia.
Nimejitolea kusaidia kuimarisha muundo wa maandishi yako, kusawazisha sarufi, na kuongeza ufasaha wa lugha ili kazi yako iweze kung'aa.
Tafadhali wasiliana nami ili tuzungumze zaidi juu ya jinsi ninavyoweza kukusaidia kufikia malengo yako ya uandishi.
Bei maelewano, tafadhali wasiliana nami kupitia sanduku la ujumbe au kupitia namba yangu ya simu 0716440258.