Recent content by Andrew kigora

  1. Andrew kigora

    Rais Samia atua Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa hapo kesho

    Mama unapambana sana najua huendi sehemu kama vacation jicho lako linaona mengi unapokuwa ugenini jaribu kupepesa vizuri wapo wenye nia njema na nchi yako ukiwaamini huko watakuja kwetu kutushika mkono vijana wenye ndoto zakupata fursa za ajira nakuepukana na umasikini 🫶🫡
  2. Andrew kigora

    SoC04 Tanzania ya Kesho na Utalii

    TANZANIA YA KESHO NA UTALII Tanzania ni miongoni mwa nchi pekee barani africa na duniani kote kwa ujumla kwakuwa na vivutio vingi ikiwemo mbuga za wanyama, mapori, mito pamoja na safu za milima zenye mandhari yakipekee kamavile mlima wakihistoria barani africa mlima kilimanjaro Hakika...
Back
Top Bottom