Recent content by Andongolye

  1. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Uwazir tu alikua na vimada urais itakuaje, hapo tu huyo mama hayupo huru anawaza hayo hayo,
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli Ni Kuwa, CHADEMA Wameandaa Hafla Ya Kuchangisha

    Kiu ya mabadiliko
  3. A

    JamiiForums Tanzania CCM kuadhibiwa vibaya sana na wananchi mwaka huu!

    Mabadiliko lazima
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wana jimbo la Geita mmefanya makosa kumteua Msukuma

    Ndio hapo sasa unajiuliza ataenda kufanya nini bungeni mtu kama huyu,
  5. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Yaani hao watu wameandaliwa wiki nzima tumeona baada ya lowassa kuondoka hapo wasanii wakakimbilia hapo na kujidai wanatoa misaada mashuleni na hospitalini walikua wap cku zote? Wakina masanja wamezenguka hiyo chato kwa nguvu zote wakitafuta watu wa kuwajaza hapo, ukichunguza utagundua kua...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mkinichagua 25 Oktoba, Jumatatu inayofuata Ferry itakuwa bure bila nauli

    Nimegundua ccm wengi mmeridhika na unyonyaji wa serikali yenu, kila kitu kwenu hakiwezekani nini kinawezekana? Kenya inawezekana ila Tanzania haiwezekani embu badilikeni nyie
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wasomi na CCM: Tutimize wajibu wetu 2015! (Raia Mwema Septemba 2, 2015)

    God bless lowassa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wasomi na CCM: Tutimize wajibu wetu 2015! (Raia Mwema Septemba 2, 2015)

    Hapa ndio unapoona umuhimu wa kua na katiba pendekezwa na wananchi, maana viongozi tunawaweka sisi madarakani ili mtutumikie sio kutusaidia, huduma za kijamii ni haki yangu sio hisani
  9. A

    JamiiForums Tanzania Duni Hajji ashindwa kusuluhisha UKAWA - Mtama

    Ccm mnajitahidi kutushauri na kutufuatilia asanteni sana, kumbukeni na kumnadi mgombea wenu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    Huyu Amon ata ludewa ndio alikua anamtusi lowassa tena kwa uchochezi mwingi, unajiuliza ata huyu analeta choko choko, pole yake watu tulishaamua
  11. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Kumjibu slaa ni kupoteza muda na resources zetu, embu tu komae na mabadiriko tu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Marekani, Lowassa keshakosa urais

    Jana nilikua nasubiri matumizi ya lile lundo la makaratasi aliyokua ameyabeba nikijua ataweka wazi huo ushaidi ili tuuone nikashangaa kapiga kelele tu tulizozizoea na kuondoka
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tunaomba updates za kampeni ya Lowassa

    Mgombea wetu yupo songea muda huu, kama mtu aliweza kulisaliti kanisa nini chama cha siasa
  14. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Angalia usije amka baada ya uchaguzi coz huo ni zaidi ya usingizi
  15. A

    JamiiForums Tanzania Aiseeee!!!

    Hahahahaaa
Back
Top Bottom