Recent content by ANDERSON YM

  1. ANDERSON YM

    Mikono yangu inaota sugu, nitumie mafuta gani ili iwe laini?

    Nimeishi mikoa kama mitano hv lkn nko vile via vile,sawa ntafanyia kazi ushaul wako
  2. ANDERSON YM

    Mikono yangu inaota sugu, nitumie mafuta gani ili iwe laini?

    [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  3. ANDERSON YM

    Mikono yangu inaota sugu, nitumie mafuta gani ili iwe laini?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. ANDERSON YM

    Mikono yangu inaota sugu, nitumie mafuta gani ili iwe laini?

    Waungwana mikono yangu imekuwa ikiota sugu na kuwa migumu yaani imekomaa siyo kawaida wakati nafanya kazi za kawaida tu ambazo haziwezi kupelekea mikono yangu kuwa hivi. Naombeni ushauri nitumie mafuta gani ili mikono yangu iwe laini maana hata ukisalimiana na mtu ni hatari. Nimejaribu kukata...
  5. ANDERSON YM

    Mpenzi wangu kupata hedhi kila baada ya siku 17

    Alikuwa anatumia mwaka mmoja uliopita sindano Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  6. ANDERSON YM

    Mpenzi wangu kupata hedhi kila baada ya siku 17

    Zaman alikuwa 28 Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  7. ANDERSON YM

    Mpenzi wangu kupata hedhi kila baada ya siku 17

    23 years Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  8. ANDERSON YM

    Mpenzi wangu kupata hedhi kila baada ya siku 17

    Habarini wanajamvi, Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo. Ahsanten!
Back
Top Bottom